Mambo Bado – Dr. Jose Chameleone (2004)

Lyrics

Ali, ali ye li ye
Ali, ali ye li ye
Ali ya li, ali ya li ye
Ali ya li, ali ya li ye
Ali ya li, ali ya li ye
Ali ya li, ali ya li ye
Mama yo

Tunaishi apa dunia ani
Wabaya na wazuri, atu wajui
Uwezi jua nani rafiki nani adui
Lakini wote uko nao pembeni
Binadamu hamupe ni masikini
Na mwenye anapata, era nyingi
Mziwaleze shida zako watacheka
Na ukiwalezea, wata yepa

Mambo bado, bado
Wenye kusema wa nasema
Fanya na ngugu ndugu, eeh
Watasema watachoka
Mambo bado, bado
Wenye kusema wa nasema
Fanya na ngugu ndugu, eeh
Watasema watachoka

Atalina bamwogerera
Naawe akozeewo bakwogerera
Avuga Benz bamwogerera
N’asindika ekigaali bamwogerera
Nze nasalawo okola ng’akayozi
Nve mu kutuula okunyumya emboozi
Asindika ekigaali taba na baleebeesi
Ng’oyagala abateesi gula Benz

Mambo bado, bado
Wenye kusema wa nasema
Fanya na ngugu ndugu, eeh
Watasema watachoka
Mambo bado, bado
Wenye kusema wa nasema
Fanya na ngugu ndugu, eeh
Watasema watachoka x 2

Sasa gita do you fanye kazi bila kujiuliza
Sababu wenye kusema hawatamaliza
Siwa jari sina mda ya kusikiliza
Mina tunga nyimbo za vi na wana katika
Onachekacheka nao kumbe ni nyoka
Awatasema milele lazima watachoka
Mwenye roho mbaya haki watalikuka
Wenye roho mzuri kazi tunakaza

Bannayuganda muzine
Bannakenya muzine
Tanzania muzine
Zanzibar muzine
Baana ba Congo bazine
Rwanda, Burundi muzine
Abalala baliyita ddogo
Ssi ddogo bannange nkuba ŋoma
South Africa muzine
Nile, America muzine
Scandinavia muzine
Ne Shengen muzine
Abababiloni baapowa
Kati abaraasi ffe twetala
Jib Katende yeetala
Rakim Owor yeetala
Elly Elly naawe weetale
Semwogerere naawe weetale
Abampagira mwenna mwetale
Wasswa Mapain naawe weetale
Chagayagayo naawe weetale
Humphrey naawe weetale
Weasel Manisal gwe naawe weetale
Leone Island tugende tukole

Mambo bado, bado
Wenye kusema wa nasema
Fanya na ngugu ndugu, eeh
Watasema watachoka
Mambo bado, bado
Wenye kusema wa nasema
Fanya na ngugu ndugu, eeh
Watasema watachoka x 3

(Visited 57 times, 1 visits today)

Related articles

Playlists Have This Video

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

twenty − 2 =

<