Mama Mia – Dr. Jose Chameleone (2001)

Lyrics

Hé, hé, héOli, oli, oh
Tumezaa na wewe watoto wananeSasa waniwachaUnasema umechoka na mimi masikiniSasa wanitupaNiende wapi? Na nifanye nini?Watoto wanalia huko nyumbaniLakini hizo mambo ni za dunianiUme weka raha mbele, wewe uni oni, NjokiMbona umeniachaUmeniachia watotoMpaka wanalia huko nyumbani, NjokiMbona umenitupaKama na figure yakoNdiyo kama ya chupa, Njoki wewe
Mimi ndiyo mpenziUsitupe eti mimi sina maliTafadhali hao wa mapenzi, wako na pesaAlafu hawana mapenziHiyo ni kweli, Chameleone ndiyo mpenziUsitupe eti mimi sina maliTafadhali hao wa ma Bima wako na pesaAlafu hawana penzi
Mbona umeniachaUmeniachia watotoMpaka wanalia huko nyumbani, NjokiMbona umenitupaKama na figure yakoNdiyo kama ya chupa, Njoki
Mama mia, mama miaMama mia, mama miaMama mia, mama miaMama mia, mama mia
Sasa watoto wanalia, angaliaChameleone mi nalia, mama MiaShida ni mengi kwa dunianiMingi hata wanaume wanalia kweli kweliKila siku pesa na mafutaKumnunulia, Hakuna MafutaKumbe siku moja atabadilikaMbona una badilika ume ni tupaMama MiaOgopa Deejays (Dothie)
Situwa sike tomboaSituwa sike ya roga rogaSituwa sike tomboaSituwa sike ya roga rogaSituwa sike tomboaSituwa sike ya roga rogaSituwa sike tomboaSituwa sike ya roga roga
Mbona umeniachaUmeniachia watotoMpaka wanalia huko nyumbani, NjokiMbona umenitupaKwa maana figure yakoNdiyo kama ya chupa, Njoki
Mbona umeniachaUmeniachia watotoMpaka wanalia huko nyumbani, NjokiMbona umenitupaKwa maana figure yakoNdiyo kama ya chupa, Njoki wewe
(Visited 17 times, 1 visits today)

Related articles

Playlists Have This Video

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 + 16 =

<