Shida Za Dunia – Dr. Jose Chameleone (2005)

Lyrics

Rafiki yangu alikuja nyumbani,Kunielezea shida Fulani,Ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini,Mke wake amemutoroka,Rafiki zake wanamcheka,Shida amepata nyingi amechoka,Dunia anajuta.
Acha kulia, shida za dunia,Hebu tulia mungu anakujali pia, x2Maisha mwendo ni pole,Ukipata shida leo usikonde,Wengi wako kama wewe usijali,Acha kulia ni Maisha makali,Tazama kwanza uone kesho,Usikonde uwape kichekesho,Maisha itakuwa na matatizo,Uombe mungu,Atakupa uwezo,
Acha kulia, shida za dunia,Hebu tulia mungu anakujali pia, x2Hizo shida usifikirie uko nazo pekee yako,Labda mungu anakuletea kesho,Huwezi jua kama leo siyo yako,Kwa hiyo, masikini usikonde,Labda kesho utapata,Mungu alipanga maisha kakaraka,Tunapanga naye anapanga,Shida za dunia ninakwambia.
Acha kulia, shida za dunia,Hebu tulia mungu anakujali pia, x4
Acha kulia(acha kulia)Shida za dunia(shida za dunia)Hebu tulia(hebu tulia)Acha kulia(eeeh eeeeh eeehh)Shida za dunia, (eeeeh eeh ehhhh)Hebu tulia(eeeeeh eeeh eeeeeeh)Mungu anakujali pia(eeeeh eeeh eeeh eeeh)Rafiki yangu alikuja nyumbani, (acha kulia)Kunielezea shida Fulani, (shida za dunia)Ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini, (shida za dunia)Mke wake amemutoroka, (mungu anakujali pia)Rafiki zake wanamcheka, (acha kulia)Shida amepata nyingi amechoka, (shida za dunia)Dunia anajuta.(mungu anakujali pia)
(Visited 48 times, 1 visits today)

Related articles

Playlists Have This Video

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

twenty − 7 =

<