Lyrics Why beat me?Na mi sina tafauti naweWhy kick me?Na Mimi sina shida, nawe Kabl’uli chagua, afande una anziya kuwa mwana nchiKabla ku ni umiza, sikiliza neno languShida ziko kwangu, pia nazo ziko kwakoI’m fighting for you and for meWatoto wangu, na watoto wakoWasome vizuri, wapate future njemaMadam wangu, na madam wakoWazae vizuri wapate matibabu […]