Sivyo Ndivyo – Professor Jay Ft. Dr. Jose Chameleone (2007)

Lyrics

Unavyodhani Ndivyo sivyoMaisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)Naongeza msistizo tena usimsahau
Mtu mwenye matatizo (mama yo yo)
Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tenaWamebaki naviulizo (vingi viulizo)Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
Eh! tusaidiane kwenya raha na shidaUsimdharau mwenye nja kwakua we umeshibaMaisha safari ndefu sio elewekaLeo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka
Usimutuze tu mwenye nyumba na gariKumbuka umaskini na utajiri zote hadhiUnavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyoDunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizo
Kama leo umepewa basi mushukuru mumbaKama umekosa ongeza bidi na sio ndumbaMwenzio akiwa ana thama murushie kambaSikia kilio cha watu wazima Bongo Mpaka Uganda!
Unavyodhani Ndivyo sivyoMaisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)Naongeza msistizo tena usimsahauMtu mwenye matatizo (mama yo yo)
Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tenaWamebaki naviulizo (vingi viulizo)Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
Never under estimateAnd learn to appreciateNo matter situation, persevere and tolerateDon’t get hooked by the baitLife is life, no matter what the time and dateTake a little more time, sit and concentrateIt’s J. Chameleone, Professor in a new duet!
Unavyodhani Ndivyo sivyoMaisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)Naongeza msistizo tena usimsahauMtu mwenye matatizo (mama yo yo)
Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tenaWamebaki naviulizo (vingi viulizo)Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
Unaedhani ana afya kumbe ndio ana ngomaUsimini kila kitu ambacho macho yaonaWangapi wana magari na kumbe yote ya mkopoBenki ikiwadai wanarudi kwenye msoto
Usi ishi kwenye ndoto, maisha upange weweAnapanga ama nani muombe ili upeweUsimdharau mtu kwa kua yeye yuko simpleKumbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong
Mama yoooo!Munno bwolaba talina muwe PlaniTomukuba mgongo omulanga BisiraaniOyo gwonyoma nti talina PlaniEbyensi bikyuka mungu yayina Mizani
Tonyoma njala gweluma talina musangoToduulira mwavu tomukuba mugongoAni yali amanyi nti ndikuba ebidongoMaisha kama kamari bora itumie ubongo
Unavyodhani Ndivyo sivyoMaisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)Naongeza msistizo tena usimsahauMtu mwenye matatizo (mama yo yo)
Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tenaWamebaki naviulizo (vingi viulizo)Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
Unavyodhani Ndivyo sivyoMaisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo)Naongeza msistizo tena usimsahauMtu mwenye matatizo (mama yo yo)
Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tenaWamebaki naviulizo (vingi viulizo)Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo(Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)
(Visited 67 times, 1 visits today)

Related articles

Playlists Have This Video

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

6 − 4 =

<